deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 932
- 506
Mungu okoa kizazi hikiKennedy bado sana, hata mika 100, hawezi kumfikia King of the Afternoon show... ama nininn.....! Huku BABA Johniii akichombeza na mautani, afekecheee.....nafasi ya dwasiii...! XXL ni hatari .. yaani hawa jamaa ni sawa MSN!...
Unabishaaa....!
Sidhani kama anajua yote ayoYani we mleta thread sijui unawaza nin, hv unajua xxl mpka inaisha saa tisa wanaskika watangazaji wangap? na anayecontrol mzigo wote ni nan? na hv unajua kuwa dozen kile kipindi ni chake na yeye ndo alitoa wazo la kumleta kennedy amreplace fetty?
Anakwenda radio ngan mkuu.. maana kuacha kaz si mchezo mkuu..na radio kubwa km clouds. .Fetty hakufukuzwa aliacha kazi yeye mwenyewe na aliaga kabisa kwenye kipindi
Ukiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako.
Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza XXL na B Twelve, B 12 ndio anayemfundisha kazi. Kiufupi ni kwamba huyu dogo ndio anaandaliwa ili kumuondoa B twelve kwenye XXL, ni lazima ufikiri ili uelewe hili ninalolizungumza. B Twelve kama atakaa sana pale XXL basi mwaka ujao ndio mwisho na Kennedy The Remedy atakuja kuwa mtangazaji hiyo show. Rejea kilichomkuta Dina Marios
Wapo watakaopinga lakini naomba thread hii ibaki kama reference.
Siku aliyo tangaza anaacha kazi clouds alisema kua ameaacha kabisa kazi ya utangazaji ....akasema pia siku akitaka kurudi kwenye kazi ya utangazaji hatoenda radio nyingne yoyote kuomba kazi bali atarudi clouds hapo hapo kufanya kazi tena...ila hua anaenda pia mara chache chache hapo clouds kutoa hi kwa bdozen kwenye kipindi japokua sio muhusika tena ....ni hayo tu mkuuAnakwenda radio ngan mkuu.. maana kuacha kaz si mchezo mkuu..na radio kubwa km clouds. .
hapana, atleast wamegawana wasikilizaji, kwa show za mchana hakuna kama BSo Dullah ndo kauweza?
Amepangiwa kazi nyingineSo fetty amefukuzwa clouds au..???
Hapana...! Mchomvu ni master wa kipind chako soso flesh na sio xxl....fatilia vipindi vyote vya xxl Mchomvu ua anaingia nusu saa kabla ya kipindi kuisha ila b12 anaanza nacho mwanzo mwshoAdam Mchonvu ndio master wa hicho kipindi wengine wote ni wasaidizi ( vijakazi )
huyo mbana pua atauweza wapi mziki wa twangala twiz?So Dullah ndo kauweza?
Le professor upo dunia gani?So fetty amefukuzwa clouds au..???
Fikra za wakina Mugabe na Museven za kutaka kufia ofisini!?Ukiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako.
Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza XXL na B Twelve, B 12 ndio anayemfundisha kazi. Kiufupi ni kwamba huyu dogo ndio anaandaliwa ili kumuondoa B twelve kwenye XXL, ni lazima ufikiri ili uelewe hili ninalolizungumza. B Twelve kama atakaa sana pale XXL basi mwaka ujao ndio mwisho na Kennedy The Remedy atakuja kuwa mtangazaji hiyo show. Rejea kilichomkuta Dina Marios
Wapo watakaopinga lakini naomba thread hii ibaki kama reference.
Na muda mrefu sijasikiliza xxl km mwaka sasa..Le professor upo dunia gani?
haiwezekan kenedy hayuko full parkage lugha za ajabu ajabu usela wa ar mwingi dozen katulia aboi mstaarabu ana iq ya kuuliza maswali kenedy kama mwehu adamu tu yuko vizur butsomethin is missingUkiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako.
Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza XXL na B Twelve, B 12 ndio anayemfundisha kazi. Kiufupi ni kwamba huyu dogo ndio anaandaliwa ili kumuondoa B twelve kwenye XXL, ni lazima ufikiri ili uelewe hili ninalolizungumza. B Twelve kama atakaa sana pale XXL basi mwaka ujao ndio mwisho na Kennedy The Remedy atakuja kuwa mtangazaji hiyo show. Rejea kilichomkuta Dina Marios
Wapo watakaopinga lakini naomba thread hii ibaki kama reference.
Hahahaha Mkuu sidhani kama kuna mtu ana maneno ya ajabu pale kama Mchomvu sa ingine sijui ua anasahau kua yuko onairupuuuz
haiwezekan kenedy hayuko full parkage lugha za ajabu ajabu usela wa ar mwingi dozen katulia aboi mstaarabu ana iq ya kuuliza maswali kenedy kama mwehu adamu tu yuko vizur butsomethin is missing