B-12-XXL ya Clouds FM kibarua chake matatani

Jamaa alikuwa ameshaongea na efm alikuwa tu anatafuta sababu za kujichonganisha na ofisi apate sababu ya kusepa.
 
Yametimia mkuu[emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ni kweli kabisa, hata mimi nimesikia wakifanya promo ya kukaribisha matangazo.

Hii ni kiashiria kwamba sasa hv mpambano dhidi ya media zngne ni nguo kuchanika
Sio kwamba ni ishara ya wafanyabiashara wengi kushindwa kupeleka matangazo/kulipia sababu ya mdororo wa uchumi?

Tukiachana na Clouds na IPP, ni media haouse gani nyingine ime win matangazo mengi?
 
Kennedy bado sana, hata mika 100, hawezi kumfikia King of the Afternoon show... ama nininn.....! Huku BABA Johniii akichombeza na mautani, afekecheee.....nafasi ya dwasiii...! XXL ni hatari .. yaani hawa jamaa ni sawa MSN!...

Unabishaaa....!
Miaka 100 nasikia tayar
 
Namuona Cza nae anavoandaliwa kuchukua nafasi ya Masoud Kipanya

Mbona watu wawili tofauti kabisa na CZA Clouds wanamtumia kwa mambo mengi sana, sio kuchukua nafasi ya kipanya, haiji akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…