BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
- Thread starter
- #101
Hahaha, hapa ndio nyumbani bossHivi wewe jamaa bado upo JF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, hapa ndio nyumbani bossHivi wewe jamaa bado upo JF?
Ukiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako.
Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza XXL na B Twelve, B 12 ndio anayemfundisha kazi. Kiufupi ni kwamba huyu dogo ndio anaandaliwa ili kumuondoa B twelve kwenye XXL, ni lazima ufikiri ili uelewe hili ninalolizungumza. B Twelve kama atakaa sana pale XXL basi mwaka ujao ndio mwisho na Kennedy The Remedy atakuja kuwa mtangazaji hiyo show. Rejea kilichomkuta Dina Marios
Wapo watakaopinga lakini naomba thread hii ibaki kama reference.
Yani we mleta thread sijui unawaza nin, hv unajua xxl mpka inaisha saa kumi wanaskika watangazaji wangap? na anayecontrol mzigo wote ni nan? na hv unajua kuwa dozen kile kipindi ni chake na yeye ndo alitoa wazo la kumleta kennedy amreplace fetty?
Sio kwamba ni ishara ya wafanyabiashara wengi kushindwa kupeleka matangazo/kulipia sababu ya mdororo wa uchumi?Aisee ni kweli kabisa, hata mimi nimesikia wakifanya promo ya kukaribisha matangazo.
Hii ni kiashiria kwamba sasa hv mpambano dhidi ya media zngne ni nguo kuchanika
EFMSio kwamba ni ishara ya wafanyabiashara wengi kushindwa kupeleka matangazo/kulipia sababu ya mdororo wa uchumi?
Tukiachana na Clouds na IPP, ni media haouse gani nyingine ina ime win matangazo mengi?
Miaka 100 nasikia tayarKennedy bado sana, hata mika 100, hawezi kumfikia King of the Afternoon show... ama nininn.....! Huku BABA Johniii akichombeza na mautani, afekecheee.....nafasi ya dwasiii...! XXL ni hatari .. yaani hawa jamaa ni sawa MSN!...
Unabishaaa....!
Namuona Cza nae anavoandaliwa kuchukua nafasi ya Masoud Kipanya