Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wewe unataka kujua nini, kama uongozi wa simba wamejiridhisha kuzipokeaWakuu Wale Wataalamu Wa Banking Mtusaidie Kwenye Hili Hapa View attachment 1958305
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Manara commercial Bank LTD.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manara commercial Bank LTD.
Wameweka localbitcoin au yellow card.Wakuu Wale Wataalamu Wa Banking Mtusaidie Kwenye Hili Hapa View attachment 1958305
Mkuu issue ni ile janjajanja ya Mo dewji ndo maana jamii haina Imani nae kabisaIla waandishi wabongo kwanini wanakuwa wajuaji hivi......
Hivi account ya benki itasaidia nini ikitajwa, wapi duniani tuliona account za benki zinatangazwa.
Watu mlishaambiwa kuwa hizo hela zitakuwa mtaji kwenye fixed accounts ( interest inayopatikana, ndio faida kwenye timu), pia nakumbuka MO alizungumzia mambo ya kukunua bonds ( kukopesha serikali kwa riba).
NB: watu wa fedha mtanirekebisha kama sijatumia maneno sahihi.
Asa mtu leo unaanza kuhoji hela iko wapi, ili iweje? Umesikia ni mgao kwamba watu watagawana?
Mbona hatuhoji Hela za Taasisi zingine ziko wapi?
MO amewakosea nini wabongo?
Sijawahi kuona hiyo janjajanja yake.Mkuu issue ni ile janjajanja ya Mo dewji ndo maana jamii haina Imani nae kabisa
Tukiachana na maisha yetu binafsi pia kuna maisha ya vitu tunavyo vipenda sana ili maisha yaendelee kwa furaha ni lazima tuyagusieMkuu tafuta hela,tumia nguvu zako zote na akili yako kutafuta hela,ukisha kua na hela hutahoji vitu ambavyo havina direct impact kwenye maisha yako binafsi,
Tafuta hela ili usije ukawa mzigo kwa wengine uzeeni mwako.
Kwahiyo mkuu wewe unaiga kwa kuangalia wengine wanafanyaje?Tukiachana na maisha yetu binafsi pia kuna maisha ya vitu tunavyo vipenda sana ili maisha yaendelee kwa furaha ni lazima tuyagusie
Kwani Hamis Kigwangala alipokuwa anakazia kwenye hii Bilion 20, kwamba na yeye hana financial freedom yake binafsi?
Basi watu wataendelea kuhoji swala hilo mpaka mpaka aonyeshe bank alideposit hiyo pesaSijawahi kuona hiyo janjajanja yake.
Kama ipo basi anastahili.
Haya mambo ni lazima yagusiwe iwe au isiwe mpk pale atakapo toa maelezo ya bank alipo deposit hiyo pesaKwahiyo mkuu wewe unaiga kwa kuangalia wengine wanafanyaje?
Mimi nimekupa ushauri,the rest is up to you.
Zile tumeweka tigo pesaHahahaha Josh J mbona una nongwa sana mkuu mbona hili la Bilion 20 tulishalimaliza na tukaonesha hundi yake kupitia Press na waandishi wa habari
Sema msijari sana tutaita press nyingine kwa ajili kueleza tumeweka Bilion 20 kwenye Bank hii