Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
HahahaZile tumeweka tigo pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaZile tumeweka tigo pesa
Ameweka kwenye BENKI YA DAMU pale Mloganzila.Wewe ukitaka uingie kwenye mtafaruku na Moo pamoja na chawa wake, basi jaribu tu kuhoji zilipo hizo bilioni 20!
Kwamba unakomaa aonyeshe kama vile ni mkewe unataka uwe na uhakika na urithi?Basi watu wataendelea kuhoji swala hilo mpaka mpaka aonyeshe bank alideposit hiyo pesa