B.20 za SSC zilizotolewa na Mwekezaji na Mo Dewji Ziko Kwenye Account Ipi na Bank Gani?

B.20 za SSC zilizotolewa na Mwekezaji na Mo Dewji Ziko Kwenye Account Ipi na Bank Gani?

Wewe ukitaka uingie kwenye mtafaruku na Moo pamoja na chawa wake, basi jaribu tu kuhoji zilipo hizo bilioni 20!
Ameweka kwenye BENKI YA DAMU pale Mloganzila.

Anayetaka kuziona anakaribishwa sana, muda wa kazi ni Jumatatu hadi Ijumaa saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni.
 
Okwi Boban Sunzu anajua imewekwa Bank gani,maana ni yeye ndio aliembebea Mwamedi lile bango la cheki hewa.
 
Back
Top Bottom