Duh kaka hiyo coz kuna bro wangu alisoma alimaliza 2010 hadi leo hana kazi yupo home maisha magumuuuuu!.
kazi zake zipo huku NEMC,MALI-ASILI, UNEP, TMA etc but UTASOTA SANA MKUU...!!
thanks broKaka issue ya ajira siku hizi karibu course zote ni ngumu hisipokuwa education ambayo nayo muda si mrefu itakuwa na ugumu, cha muhimu ni kujituma na kupiga kitabu inavyopaswa mf kuna jamaa yangu alikuwa hapa MWECAU zamani mwenge alikuwa anapiga hiyo bagen amemaliza juz hapa, field zake alipiga tanapa, na jamaa wiki ya majuz wamempa ajira na alikuwa hana ata refa ila kilichonsaidia ni kujituma alupokuwa field, na performance yake class
HUSIKATISHWE TAMAA NA HAWA WENYE MIDOMO MICHAFU WANAODHANI JF NI KWENYE TAARABU KAMA FB, NJOO UPIGE KITABU KIJANA UTENGENEZE GPA YAKO VIZURI NA KUPERFORM VIZURI WAKATI WA FIELD
aahhhaaa!!! cku iz sifa GPA,,, sema kijana upo kwenye competition na wanaosoma environmental engineering na environmental science,, ambao ni marketable sana................ tena wanasoma chuo bora, ardhi universityPeople are serious may'be you are not serious let me tell u something. Ukiwa nje ya ndoa utataman uingie ndani ya ndoa bila kujua yaliyopo. Kiukwel ukiwa shule unasoma uku ukiwa na malengo yako lakin kama mjuavyo shule na ajira vitu viwili tofauti. Me nkiwa shule nlikua napenda kuja kusoma PSPA bt suala la ajira ndo limesababisha nichange idea en most of people ndo inawatokea wengine.
Af humu Jf ishakua uduanzi watu kila course wanaiponda jingine liliweka karibu course 15 za art et oh ajira zake hakuna.of which ni kumkatisha mtu tamaa what.guys you have to do ni kutoa details kwa undan kuhusu course husika lakini si kuponda tuuuuuu............! MNAKERAaaaa......!!! yan ndugu zang mnaotaka kujiunga na vyuo mawazo meng ya wana jF ni ya kukatisha tamaa.......
Eti mtu course kama BAGEN anakurupuka 2 et uta deal na sewage system ivi kweliii... jaman course yenyewe inazungumza wazi inahusu geographia na mazingira why... msitoe details kua unaeza fanya kayi sehem kama. Idara ya maji, nk dah inasikitisha sana af ata kama we umekaa miaka 12 bila ajira kua muwazi tu kwamba course ipo wide bt mimi sijapata kazi hadi sasa coz nlipata GPA ya 2.5 lakin si kupondapaaaa...!!! Without strong reason.
Ukichukia chukia i'dnt care.
naeza sema umeingia choo cha kike,,, coz kuna vijana wa environmental engineering na environmental science wanasoma chuo bora, ARDHI UNIVERSITY, wako marketable sana, je utacompete nao?