B.A in Geography and Enviromental Studies

B.A in Geography and Enviromental Studies

kazi zake zipo huku NEMC,MALI-ASILI, UNEP, TMA etc but UTASOTA SANA MKUU...!!

Nlikua nakutafuta mtu kama wewe unatoa details za wapi mtu anaweza kupata kazi pia unamwambia kabisa ATASOTA.
Thats how great thinker are supposed to be sio kuwa waropokaji ka tupo kwenye vigodoro Ramadhan Chasigwe
 
Last edited by a moderator:
Kaka issue ya ajira siku hizi karibu course zote ni ngumu hisipokuwa education ambayo nayo muda si mrefu itakuwa na ugumu, cha muhimu ni kujituma na kupiga kitabu inavyopaswa mf kuna jamaa yangu alikuwa hapa MWECAU zamani mwenge alikuwa anapiga hiyo bagen amemaliza juz hapa, field zake alipiga tanapa, na jamaa wiki ya majuz wamempa ajira na alikuwa hana ata refa ila kilichonsaidia ni kujituma alupokuwa field, na performance yake class

HUSIKATISHWE TAMAA NA HAWA WENYE MIDOMO MICHAFU WANAODHANI JF NI KWENYE TAARABU KAMA FB, NJOO UPIGE KITABU KIJANA UTENGENEZE GPA YAKO VIZURI NA KUPERFORM VIZURI WAKATI WA FIELD
 
thanks bro
 
People are serious may'be you are not serious let me tell u something. Ukiwa nje ya ndoa utataman uingie ndani ya ndoa bila kujua yaliyopo. Kiukwel ukiwa shule unasoma uku ukiwa na malengo yako lakin kama mjuavyo shule na ajira vitu viwili tofauti. Me nkiwa shule nlikua napenda kuja kusoma PSPA bt suala la ajira ndo limesababisha nichange idea en most of people ndo inawatokea wengine.
Af humu Jf ishakua uduanzi watu kila course wanaiponda jingine liliweka karibu course 15 za art et oh ajira zake hakuna.of which ni kumkatisha mtu tamaa what.guys you have to do ni kutoa details kwa undan kuhusu course husika lakini si kuponda tuuuuuu............! MNAKERAaaaa......!!! yan ndugu zang mnaotaka kujiunga na vyuo mawazo meng ya wana jF ni ya kukatisha tamaa.......
Eti mtu course kama BAGEN anakurupuka 2 et uta deal na sewage system ivi kweliii... jaman course yenyewe inazungumza wazi inahusu geographia na mazingira why... msitoe details kua unaeza fanya kayi sehem kama. Idara ya maji, nk dah inasikitisha sana af ata kama we umekaa miaka 12 bila ajira kua muwazi tu kwamba course ipo wide bt mimi sijapata kazi hadi sasa coz nlipata GPA ya 2.5 lakin si kupondapaaaa...!!! Without strong reason.
Ukichukia chukia i'dnt care.
aahhhaaa!!! cku iz sifa GPA,,, sema kijana upo kwenye competition na wanaosoma environmental engineering na environmental science,, ambao ni marketable sana................ tena wanasoma chuo bora, ardhi university
 
naeza sema umeingia choo cha kike,,, coz kuna vijana wa environmental engineering na environmental science wanasoma chuo bora, ARDHI UNIVERSITY, wako marketable sana, je utacompete nao?
 
naeza sema umeingia choo cha kike,,, coz kuna vijana wa environmental engineering na environmental science wanasoma chuo bora, ARDHI UNIVERSITY, wako marketable sana, je utacompete nao?

kwa research gani mliyofanya mkaona atakaposoma yeye sio bora? tanzania hii kinachomata ni kuwa competence kwenye eneo ulilosoma, haijalishi ni chuo gani, HR anayeangalia jina la chuo na sio competence ya mtu huyo atakuwa na shida kichwani,
 
Back
Top Bottom