B.A in Geography and Enviromental Studies

B.A in Geography and Enviromental Studies

Abou merlin

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
58
Reaction score
3
vp hali wana jf
mwenzenu nategemea kwenda kusoma course hii Bachelor of Arts in Geography and Environmental Studies katika chuo cha mwenge university collage of education ​kipo moshi... vp kwa course hii naweza kudeal na ishu gan? au kuajiriwa iddara gan?
 
Kwa environmental studies, utadeal na sewage disposal na kuzibua mitaro ya maji machafu.
 
Collage is a piece of art made by sticking various different materials such as photographs and pieces of paper or fabric onto a backing.

College is an educational institution or establishment, in particular.
 
Tatzo letu sisi vijana tunajisikia sifa sana kusoma universities.Mtu bila kujali unaenda kusoma kitu gani na ufanye nini baadaye unachojali ni kua university tu.

Ndio maana wimbi la wasiokua na kazi mtaani linakua kila siku. Kozi iko poa kama unafahamu kitu kinachoitwa "FURSA" nje na hapo utateseka sana mtaani.
 
Ha ha ha ha ha ha nimejikuta nacheka hadi jamaa wanaulizana huyu kaw chizi JF kuna mambo kweli.

Kwa environmental studies, utadeal na sewage disposal na kuzibua mitaro ya maji machafu.
 
Huo ni upumbavu mi naona hivi utachagua kitu hujui kina husika na nini? Form 6 mzima?
 
Duh kaka hiyo coz kuna bro wangu alisoma alimaliza 2010 hadi leo hana kazi yupo home maisha magumuuuuu!.
 
People are not serious with their carrier,utajuta km unaombaomba tu bla kujua.

People are serious may'be you are not serious let me tell u something. Ukiwa nje ya ndoa utataman uingie ndani ya ndoa bila kujua yaliyopo.

Kiukwel ukiwa shule unasoma uku ukiwa na malengo yako lakin kama mjuavyo shule na ajira vitu viwili tofauti. Me nkiwa shule nlikua napenda kuja kusoma PSPA bt suala la ajira ndo limesababisha nichange idea en most of people ndo inawatokea wengine.

Af humu Jf ishakua uduanzi watu kila course wanaiponda jingine liliweka karibu course 15 za art et oh ajira zake hakuna.of which ni kumkatisha mtu tamaa what guys you have to do ni kutoa details kwa undan kuhusu course husika lakini si kuponda tu, MNAKERAaaaa......!!!

Yani ndugu zang mnaotaka kujiunga na vyuo mawazo meng ya wana jF ni ya kukatisha tamaa.
.
Eti mtu course kama BAGEN anakurupuka 2 et uta deal na sewage system ivi kweliii... jaman course yenyewe inazungumza wazi inahusu geographia na mazingira why... msitoe details kua unaeza fanya kayi sehem kama. Idara ya maji, nk dah inasikitisha sana af ata kama we umekaa miaka 12 bila ajira kua muwazi tu kwamba course ipo wide bt mimi sijapata kazi hadi sasa coz nlipata GPA ya 2.5 lakin si kupondapaaaa. Without strong reason.

Ukichukia chukia i'dnt care.
 
People are serious may'be you are not serious let me tell u something. Ukiwa nje ya ndoa utataman uingie ndani ya ndoa bila kujua yaliyopo. Kiukwel ukiwa shule unasoma uku ukiwa na malengo yako lakin kama mjuavyo shule na ajira vitu viwili tofauti. Me nkiwa shule nlikua napenda kuja kusoma PSPA bt suala la ajira ndo limesababisha nichange idea en most of people ndo inawatokea wengine.
Af humu Jf ishakua uduanzi watu kila course wanaiponda jingine liliweka karibu course 15 za art et oh ajira zake hakuna.of which ni kumkatisha mtu tamaa what.guys you have to do ni kutoa details kwa undan kuhusu course husika lakini si kuponda tuuuuuu............! MNAKERAaaaa......!!! yan ndugu zang mnaotaka kujiunga na vyuo mawazo meng ya wana jF ni ya kukatisha tamaa.......
Eti mtu course kama BAGEN anakurupuka 2 et uta deal na sewage system ivi kweliii... jaman course yenyewe inazungumza wazi inahusu geographia na mazingira why... msitoe details kua unaeza fanya kayi sehem kama. Idara ya maji, nk dah inasikitisha sana af ata kama we umekaa miaka 12 bila ajira kua muwazi tu kwamba course ipo wide bt mimi sijapata kazi hadi sasa coz nlipata GPA ya 2.5 lakin si kupondapaaaa...!!! Without strong reason.
Ukichukia chukia i'dnt care.

Hahahaaa...hapo kwenye GPA hapoooo.....eti ya ngapi? Hiyo tunaita gpa inayocheza kiduku....!
 
Karibu sana Mwenge university college sasa hiv kimekuwa chuo kamili yaani sio tena tawi la SAUT kwahyo kinaitwa MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY
 
Hapo umenena. Mtu anapouliza anahitaji kufahamishwa, sio kupondwa na kukatishwa tamaa.

Kwa anayeelewa pls muelewesheni, hasa ameshajieleza kwamba amejikuta ame-apply hiyo kutokana na course alizochakua first round ku-fail so akawa hana jinsi bali apate nafasi ya chuo.

Tuwe waungwana tafadhali.

Back
Top Bottom