Block chain maana yake ni nini?

Block chain maana yake ni nini?

Fan boy

Member
Joined
Mar 6, 2022
Posts
24
Reaction score
14
Jamani kwa mwenye uelewa block chain ni nini? Nina dogo wangu wa kazi anapambana nayo sana hata simwelewe yani
 
Blockchain au crypto currency? Maana blockchain kama technlogy ni mambo ya kisayansi sana.
 
Back
Top Bottom