F Fan boy Member Joined Mar 6, 2022 Posts 24 Reaction score 14 Jun 14, 2022 #1 Jamani kwa mwenye uelewa block chain ni nini? Nina dogo wangu wa kazi anapambana nayo sana hata simwelewe yani
Jamani kwa mwenye uelewa block chain ni nini? Nina dogo wangu wa kazi anapambana nayo sana hata simwelewe yani
raiswenu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2018 Posts 848 Reaction score 1,535 Jun 14, 2022 #2 Qnet na ndugu zake,
I iMind JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,039 Reaction score 4,889 Jun 15, 2022 #3 Blockchain au crypto currency? Maana blockchain kama technlogy ni mambo ya kisayansi sana.