B.Com Finance, UDSM

Joined
Sep 24, 2014
Posts
54
Reaction score
34
Wakuu naulizia ka mtu anaijua vizur bachelor of commerce in finance ya udsm anipe details zaku humu
 
Cjui ungetaka kujua nin...ila bachelor of commerce in finance iko school of business ambapo kwa mwaka wa kwanza school of business mnasoma kozi sawa ambazo ni marketing ..micro finance.. Accounting ... Development studies
 
Ajira zpo but yu need to be smart... Na kufanya kitu exceptional....
 
Kwa nin usichukue bcom-accounting,hyo finance kazi zake co nyng sana..nina ndugu yangu ana mwaka wa pili huu kitaa.
 
Kwa nin usichukue bcom-accounting,hyo finance kazi zake co nyng sana..nina ndugu yangu ana mwaka wa pili huu kitaa.

Pia even accounting wapo weng wako kitaa inategemea umejipangaje... However finance anafanya kaz za account... Finance ni koz nzur sanaaa.. Nina marafiki zang weng nimegraduate nao this year na wamepata kazi...
 
Kama hukusoma ECA high school inabidi ukaze sana kwenye kozi mbili za accounts Ac 100 na Ac 101. Hii department ndio inafanya pale udbs~udsm pasiwe mahali salama pa kuishi.
 
UDSM wabishi tu .....Bcom finance ni chaka ....vyuo vingi vinatoa degree za accounting and finance badala ya finance tu while wahasibu wanasoma finance deep pia.Kazi gani mtu mwenye Bcom finance anaweza kufanya na wa Bcom accounting au BAF ashindwe?
 
UDSM wabishi tu .....Bcom finance ni chaka ....vyuo vingi vinatoa degree za accounting and finance badala ya finance tu while wahasibu wanasoma finance deep pia.Kazi gani mwenye Bcom finance anaweza kufanya na wa Bcom accounting au BAF ashindwe?
Unaongea kwa kutumia experience au unaongea kwa mtazamo kama jina lako... I speak from experience finance is very good course na pipo wanapata kazi ... Tanzania kuna micro finance nying ambazo Watu weng wanaochukuliwa kama loan or credit officers ni watu walio soma finance pia kuna auditing firms nying n.k. ajira nying kwa finance.... Most of people wanaolalamika hakuna kazi may be kujiexpress ni tatizo au not smart
 
Kasome uhasibu au hata marketing,finance haina ishu kivile.
 
Kwel msimdanganye mwezio koz zote sawa tu kuna graduate wengi wa accounting n marketing pia wako mtaani kulko even finance

jamaa hapo juu kakuulza,m2 wa finance anaweza kufanya nin ambacho m2 wa a/c hawezh kukifanya!
 
jamaa hapo juu kakuulza,m2 wa finance anaweza kufanya nin ambacho m2 wa a/c hawezh kukifanya!

Mm cjasoma finance nimesoma Bcom HR.. Ila mesoma pale udbs coz zote nazifahamu na nina wafahamu watu wengi walio soma accounting na walio soma finance...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…