kennedy joshua
Member
- Sep 24, 2014
- 54
- 34
Wakuu naulizia ka mtu anaijua vizur bachelor of commerce in finance ya udsm anipe details zaku humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ww ni product ya kahororo?Ajira zpo but yu need to be smart... Na kufanya kitu exceptional....
Kwa nin usichukue bcom-accounting,hyo finance kazi zake co nyng sana..nina ndugu yangu ana mwaka wa pili huu kitaa.
Unaongea kwa kutumia experience au unaongea kwa mtazamo kama jina lako... I speak from experience finance is very good course na pipo wanapata kazi ... Tanzania kuna micro finance nying ambazo Watu weng wanaochukuliwa kama loan or credit officers ni watu walio soma finance pia kuna auditing firms nying n.k. ajira nying kwa finance.... Most of people wanaolalamika hakuna kazi may be kujiexpress ni tatizo au not smartUDSM wabishi tu .....Bcom finance ni chaka ....vyuo vingi vinatoa degree za accounting and finance badala ya finance tu while wahasibu wanasoma finance deep pia.Kazi gani mwenye Bcom finance anaweza kufanya na wa Bcom accounting au BAF ashindwe?
Kasome uhasibu au hata marketing,finance haina ishu kivile.
Kwel msimdanganye mwezio koz zote sawa tu kuna graduate wengi wa accounting n marketing pia wako mtaani kulko even finance
jamaa hapo juu kakuulza,m2 wa finance anaweza kufanya nin ambacho m2 wa a/c hawezh kukifanya![/QUOTE
Project appraisal, lending management... N.k
jamaa hapo juu kakuulza,m2 wa finance anaweza kufanya nin ambacho m2 wa a/c hawezh kukifanya!