Wanajamvi nmefanya upelelezi kuhusu hizi kozi mbili lakini sikuridhishwa nazo kama kuna anayezifahamu vizuri na kwa undani naomba anielezee kwa kuwa nimechaguliwa Udom Bcom in Management Science(Procurement & Logistic) lakini nafikiria kuchukua B.com in international business baada ya kufanya upelelezi kwenye net, kabla sijafanya maamuzi ya kubadilisha kozi naomba ufahamu wenu kuhusu hizi kozi na ushauri wenu,nlimaliza EGM form 6