B Dozen unaoa lini?

Miss Curious

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
315
Reaction score
497
Kiukweli huyu kaka anayejulikana kama Hamisi Mmandi aka B 12 ni moja kati ya presenters wanaokobalika sana ktk industries ya bongo flavour na toka tumeanza kumsikiliza ni mda mrefu sana amekuwa ktk mahusiano ya kimapenzi na wanawake tofauti tofauti na sasa yupo na bibie Shadee

Wadogo zake kibao
1, Adam Mchovu
2, Dj D Omy
3, James Tupatupa wameoa yeye tatizo nini kaka yetu huyu hataki kuoa?


Oa bhana Dozen acha mambo zako wewe kama Jina unalo, Kazi unayo, Kampuni unayo, Mchumba unayo kwanini hutaki kuoa?
 

Attachments

  • e1c2d2826e3f04e6820454d8572b923b.jpg
    98.4 KB · Views: 70
JF ukiona Uzi kama huu ujue soon Ku a umbea unataka kuletwa ila sasa style ndio hii ya kuzunguka kidogo! Mtoa mada yupo DSM na anataka kwenda Morogoro lkn kaanzia DSM Mtwara kwanza!
Polepole mkuu, usiwaamshe watu.😎😎
 
Hili swali mtoa mada ulipaswa ukamuulize muhusika
 
JF ukiona Uzi kama huu ujue soon Ku a umbea unataka kuletwa ila sasa style ndio hii ya kuzunguka kidogo! Mtoa mada yupo DSM na anataka kwenda Morogoro lkn kaanzia DSM Mtwara kwanza!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuoa si sawa na kununua mchicha sokoni,Maana ya kuoa au kuolewa ni inamaana kubwa mno,Na ukioa kisa fulani kaoa imekula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…