Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,149
- 2,232
Waulize madent wa Arusha Sec wa late 90's sifa za Hamis MandiSio kweli antivirus wahuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize madent wa Arusha Sec wa late 90's sifa za Hamis MandiSio kweli antivirus wahuni
Waulize madent wa Arusha Sec wa late 90's sifa za Hamis Mandi
Mbona wapo wengi ambao hawajaoa
1.Ayo
2.Dimpoz
3.Nay
4.Mnyika J.J
5. Chinga One
6........
Kwa nink umchague B? au kuna jambo
Huyo bado mtotoRuge Mutahaba
96% utakuwa ndo shadee mwenyewe, vumilia tu bibie..atakuoa muda ukipenda yeye.
aisee😀😀😀😀😛😛JF ukiona Uzi kama huu ujue soon Ku a umbea unataka kuletwa ila sasa style ndio hii ya kuzunguka kidogo! Mtoa mada yupo DSM na anataka kwenda Morogoro lkn kaanzia DSM Mtwara kwanza!
Ww jamaa waga unaandika point sana tatizo English yako yakimarekan wengi inatushindaHow is that anybody else’s business?
Good grief!
Hahahahaaa Hivi Sugu kaoa kweli?Ruge Mutahaba
Ww jamaa waga unaandika point sana tatizo English yako yakimarekan wengi inatushinda
hili ndo lengo la uziWaulize madent wa Arusha Sec wa late 90's sifa za Hamis Mandi
HahahaaaSasa kama papuchi ipo ndoa ya nini?
hata Martin Kadinda anaye mtotoMbona Dozen ana watoto tena wamefanana naye sana, kuna dogo mmoja alishapiga naye picha wapo kopyraiiti.Labda ameamua kuzaa watoto na kulea bila kuwa na mke
Ruge anakosa mke kwasababu ya GUBu nani amkubalie yule mhaya mwenye gubu kiasi kileRuge Mutahaba
kwenye hilo mie simoRuge anakosa mke kwasababu ya GUBu nani amkubalie yule mhaya mwenye gubu kiasi kile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walimwengu wanasemaga jamaa ana undugu na kina james na ray model
Mkuu unatumia nguvu nying sana naona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo umesema wewe