B Dozen unaoa lini?

Kuna mambo nimeyahisi humu ndani,yawezakuwa huyu mtoa mada ni colon la B12 na kila akimuuliza "baby mwisho wa mahusiano yetu ni UPI?" hapati majibu yenye kuridhisha so,ameamua kumwambia muhusika kiaina kwa kuwa anajua muhusika yumo humu!
 
Mbona hujamwuliza shadee anaolewa lini na B dozen?
 
Weka picha ya wahusika ili habari ikamilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…