B Dozen unaoa lini?

Bado yupoyupo kwanza msimzeeshe wacha ale ujana
 
96% utakuwa ndo shadee mwenyewe, vumilia tu bibie..atakuoa muda ukipenda yeye.
JF ukiona Uzi kama huu ujue soon Ku a umbea unataka kuletwa ila sasa style ndio hii ya kuzunguka kidogo! Mtoa mada yupo DSM na anataka kwenda Morogoro lkn kaanzia DSM Mtwara kwanza!
aisee😀😀😀😀😛😛
 
Mbona Dozen ana watoto tena wamefanana naye sana, kuna dogo mmoja alishapiga naye picha wapo kopyraiiti.Labda ameamua kuzaa watoto na kulea bila kuwa na mke
 
Mbona Dozen ana watoto tena wamefanana naye sana, kuna dogo mmoja alishapiga naye picha wapo kopyraiiti.Labda ameamua kuzaa watoto na kulea bila kuwa na mke
hata Martin Kadinda anaye mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…