B DOZEN wa clouds huu si utangazaji hata kidogo

B DOZEN wa clouds huu si utangazaji hata kidogo

Kwa mbwembwe nlizozickia leo za b12 na nlvyokuja kuuckia wimbo are inversely proportional. Hlf ukikipamba ki2 sn hlf kikaja tofaut inakaa km umemwagiwa maji ya baridi. Teh
Nilihisi tuu utakuwa mbaya

Aseee!!!
 
kwa hiyo imekuuma kweli kweli kwa ngoma ya Baraka na Ali kusifiwa na B.12?!
 
Amna usimlaumu b. Dozn ile nyimbo Imepew promo sana kiasi kwamba tulijua unakuja moto wa hatari kumbe nyimbo yA mazishi [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
I want you back...
Uwiiiii Kiba katisha kinoma.
Halafu nimeshtuka Baraka kampa Kiba kipande kidogo akihofia asifunikwe,still kafunikwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiba ana hatari huyu jamaa... Sichoki kusikiliza sauti yake
 
tatizo lako si b12 ila ni balozi wa tembo, huu utimu nya utakuja kuwafanya mfe kwa mawazo
 
Jamaa ana katabia fulani ka ajabu sana.ni mtangazaji mzuri sana tena sana.ila huwa anakera sana inapotokea anaitambulisha ngoma ya msanii hasa yule ambaye anampenda yeye.utamsikia "...anatambulisha bonge la ngoma leo,ni ngoma kali kinoma",hata leo wakati anaitambulisha ngoma ya Baraka na Ally akasema "jamaa wana bonge moja la ngoma".sasa hivi aliekwambia kwamba hiyo ngoma ni kali ni nani? Au kazi ya mtangazaji ni kusifia nyimbo na sio kuitambulisha kwa wasikilizaji? Nadhani ni vyema angetuacha sisi kama mashabiki tuamue kama ni nzuri au laa,na sio yeye kusifia.
Si kila ngoma ni kali kwa kila mtu..lakini hilo lisifanye wanaoona ngoma flani ni kali basi wasiseme...
 
Back
Top Bottom