Wimbo wenyewe sijaskia ika sidhani kama ni mzuriTeam mond povu vepee
Nilihisi tuu utakuwa mbayaKwa mbwembwe nlizozickia leo za b12 na nlvyokuja kuuckia wimbo are inversely proportional. Hlf ukikipamba ki2 sn hlf kikaja tofaut inakaa km umemwagiwa maji ya baridi. Teh
Mwanangu nakukubali huwa hupepesi macho waka hutikisi maskio una wachana wahusika moja kwa mojaNyimbo ni mbaya sana ile
Unaweza ukauweka hapa nasi tuupakue?Ulitaka asemeje?Of course ni bonge la ngoma na ndio nalisikiliza hapa sasa hivi na siuchoki.
Wivu tu unakusumbua.
Wewe na chuki zako hizo zimekufikisha wapi?Nyie ndio mnaosababisha tuishie hapahapa bongo kwa nyimbo mbofumbofu kama hizo afu mnazipenda
Nomareeeee [emoji119][emoji119]chezea king wa masauti TZ ni nomah eti !
Nineupakua kupitia thread moja ipo humu mkuu.Unaweza ukauweka hapa nasi tuupakue?
Wimbo wenyewe sijaskia ika sidhani kama ni mzuri
[emoji124]
Nilihisi tuu utakuwa mbaya
Aseee!!!
Utalalia nyoka kwa roho mbaya mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23]Mwanangu nakukubali huwa hupepesi macho waka hutikisi maskio una wachana wahusika moja kwa moja
Kama kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]Team mond povu vepee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utalalia nyoka kwa roho mbaya mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23]
Heheheee
Kiba ana hatari huyu jamaa... Sichoki kusikiliza sauti yakeI want you back...
Uwiiiii Kiba katisha kinoma.
Halafu nimeshtuka Baraka kampa Kiba kipande kidogo akihofia asifunikwe,still kafunikwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Si kila ngoma ni kali kwa kila mtu..lakini hilo lisifanye wanaoona ngoma flani ni kali basi wasiseme...Jamaa ana katabia fulani ka ajabu sana.ni mtangazaji mzuri sana tena sana.ila huwa anakera sana inapotokea anaitambulisha ngoma ya msanii hasa yule ambaye anampenda yeye.utamsikia "...anatambulisha bonge la ngoma leo,ni ngoma kali kinoma",hata leo wakati anaitambulisha ngoma ya Baraka na Ally akasema "jamaa wana bonge moja la ngoma".sasa hivi aliekwambia kwamba hiyo ngoma ni kali ni nani? Au kazi ya mtangazaji ni kusifia nyimbo na sio kuitambulisha kwa wasikilizaji? Nadhani ni vyema angetuacha sisi kama mashabiki tuamue kama ni nzuri au laa,na sio yeye kusifia.