C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
Leo niko hapa kuliongelea hili swala la Bhits na saga yao ya kuondokewa na wasanii mahiri kama mabeste, vanessa mdee na dogo gosby nilichokigundua hapa ni kuwa wasanii wa watanzania bado hawajajitambua wao ni akina nani, kila kitu wao wanakichukulia poa sana, wao swala la mikataba wao wanaichukulia very simple yaani wanaichukulia poa tu.
Hawajui kuwa mikataba inaweza kumfunga mtu wao hawalitambui, hawajui kuwa mikataba inaweza kumfilisi mtu wao hilo hawalitambui (hili ni tatizo) leo kwa wale waliosikiliza clouds fm kulikuwa kuna interview iliyowashirikisha advocate wa bhits somebody kimaro pamoja na mabeste mwenyewe hapa ndipo nilipokuwa naona vituko.
tukirudi nyuma utakumbuka Hermy B alishawahi kusema kuwa ameinvest zaidi ya milioni 30 kwa mabeste mabeste na wapambe wake na watu wanaojiita ma fans wa mabeste walimtukana hermy b wa watu na kumsema mara oooh mara hivi
ukifuatilia hapa ni kwamba hawajui wameinvest kivipi hizo milioni 30 turudi nyuma 5 years back nani alikuwa anamjua mabeste? mimi nilikuwa simjui, wewe ulikuwaa humjui na yule alikuwa hamjui mabeste...
kama kuimba alikuwa anaimbia kitandani kwake ndani ya neti yake hakuna mtu yeyote aliyekuwa anamjua mabeste
valuation yake kama msanii ilikuwa haizidi 50,000 tsh
Hermy B , Pancho na wenzake wakamjenga na kumuweka hapa alipo sasa na valuation yake ni zaidi ya milioni thelathini za kitanzania
according na kimaro wanakwambia milleage waliyokuwa wamepanga wapate na mtu kama mabeste ilitakiwa iwe ya maana tunaongelea seven to eight figures
leo tu wameishia kwenye millioni 30
mabeste kaota mapembe
mabeste yeye ndio yeye
mabeste hajielewi
mabeste hajui anataka nini
mabeste hajui nini maana ya mkataba
kwani kipindi yeye ana sign mkataba wao Bhits walikuwa na mwanasheria yeye mabeste alikuwa yeye kama yeye pengine na girlfriend wake ambaye ndio PA wake sidhani kulikuwa kuna kiti kingine ambacho kilikuwa kimekaliwa na mwanasheria wa mabeste, sidhani kama mabeste alienda na mwanasheria wake ki sign ule mkataba.
Wamemaliza ku sign mkataba badala waende wausome ule mkataba na PA wake wao wanarudi gheto na PA wake wanafanya mapenzi YES si ni mpenzi wake... kuna Professionalism kweli hapo?? utoke wapi
Ndio maana wakawa wanitwa kwenda kupiga show zao wenyewe bila hata Bhits kujua
wanapiga shows zao wenyewe na kuweka mpunga mfukoni
wanapiga shows zao wenyewe bila hata ya bhits kuweka banners zao kwenye shows hizo
kwa sababu mabeste na PA wake walikuwa hawauelewi mkataba waliou sign na BHITS walikuwa wanachukulia poa tu
kitu ambacho valuation ya Bhits inakuwa pale pale huko mabeste akizidi kupaa
kwanini ufanye kazi ambayo haikulipi?? hata kama ni wewe unatupa kule
na kwa nini uende kinyume na mkataba??
hili ni swali ambalo mimi kila siku najiuliza sana na hii imetokea kwa kina VANESSA MDEE NA GOSBY yale yale kwenda kinyume na mkataba unavyosema na hii ni hulka yetu watanzania mkataba unasema hivi sisi tunafanya vile, mkataba unasema usifanye kitu hiki sisi tunafanya kitu kile , mkataba unasema fanya kitu hiki sisi hatukifanyi sasa kwa nini uli sign mkataba ambao ulijua kuwa mwisho wa siku utakubana?
kwanini uli sign mkataba ambao ulijua kuwa masharti yake huyawezi??
huko si ndio tunauita UMBUMBUMBU yaani kichwani mtu unakuwa hamna kitu
Kwa mtindo huu kamwe usitegemee kusign SONY BMG
kwa mtindo huu UNIVERSAL RECORDS utakuwa unaiona kwenye TV
kwa mtindo huu studio za CASH MONEY utakuwa unaziona kwenye internet
Hutaweza kuingia hawataki ujinga wa namna hii
Mziki sie tunachukulia kitu easy ans simple tu Label sie tunachukulia kitu easy kama vile mnavyoendaga maisha club ila kuna mengi sana nyie wasanii mnatakiwa myajue unless mtakuwa mnatoa tu macho kila siku