[b]shule Zenye Gharama Nafuu[/b]

[b]shule Zenye Gharama Nafuu[/b]

Joined
Jul 30, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Kama Unazfaham Shule Binafsi Za A-level Zenye Ada Nafuu Nitajie Iwe Ya Bord Kwa Wavulana Au Day,Husasa Ni Zile Zilzopo Mkoan Mwanza...Naomben Msada Wenu

Nb:itakua Vyema Kama Utanitajia Na Ada Yao Ni Kias Gn?


Ahsanten Wakuu,naomben Ushrkiano Wenu.
 
Back
Top Bottom