mareeTZ Senior Member Joined Jun 4, 2015 Posts 171 Reaction score 179 Dec 21, 2016 #1 mashabiki wa damu wa wekundu wa Msimbazi Simba Sport Karibuni tujadili timu letu hili la kibabe. Mechi,uchambuzi,usajili n.k
mashabiki wa damu wa wekundu wa Msimbazi Simba Sport Karibuni tujadili timu letu hili la kibabe. Mechi,uchambuzi,usajili n.k
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,339 Dec 21, 2016 #2 Hili la kutaka kupokwa point kwa kuchezesha wagana ambao hawana vibali likitimia uongozi wote ung'oke maana hakuna sababu ya kuchezesha wachezaji wasio na vibali
Hili la kutaka kupokwa point kwa kuchezesha wagana ambao hawana vibali likitimia uongozi wote ung'oke maana hakuna sababu ya kuchezesha wachezaji wasio na vibali