<b>Simba- Special Thread<\b>

<b>Simba- Special Thread<\b>

mareeTZ

Senior Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
171
Reaction score
179
mashabiki wa damu wa wekundu wa Msimbazi Simba Sport Karibuni tujadili timu letu hili la kibabe. Mechi,uchambuzi,usajili n.k
 
Hili la kutaka kupokwa point kwa kuchezesha wagana ambao hawana vibali likitimia uongozi wote ung'oke maana hakuna sababu ya kuchezesha wachezaji wasio na vibali
 
Back
Top Bottom