B-Twelve, Diamond na H.O.D ndani ya Wasafi Clothing Line

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Ilikuwa ni leo Jijini Mwanza kwenye Show iliyoandaliwa na cocacola.
Namba yangu ipo wazi kwa anaehitaji info za kuzipata hizi tshirt na kofia zake
0762052850





 

Attachments

  • HEAVEN&B12.JPG
    116.8 KB · Views: 4,293
  • HEAVEN1.JPG
    202.7 KB · Views: 3,904
  • DAI.JPG
    173.3 KB · Views: 4,045
Ushauri wa bure kiroho safi tu sio lazima mbele ya mtshirt uandike neno lote la wasafi classic baby,hata kumpa zawadi mtu mzima unaogopa...
Imekaa kijana sana tena sana nampenda domo lakini kumsupport kwa hiyo tshirt hapana siwezi kuvaa t-shirt imewekwa neno baby mbele,ipo selective sana.
Anaweza akaweka hata design yoyote mbele ila as long as ni kutoka wasafi its ok cha msingi pesa sio lazima aweke maneno yote i.e wasafi classic baby

Nb:huu ni mtizamo wangu tu..
 
Hamna mshauri mzuri nani atavaa nguo ya kikuda kama hiyo?labda wale watoto wenzenu.
 
Afisa habari wa diamond ni mwehu sna, Sa lazima uweke ma ndita yako humo???
 
wenzangu washaongea yote, rudini mjipange tena. naamini mkitoa hizo baby baby zenu kwenye hizo t-shirt atleast tutafikiri kuchukua. wengine age imesogea naona shazi kuvaa t-shirt imeandikwa sijui classic wasafi baby lol.ila mmejitahidi
 
zitatusaidia nini hizo kofia?

halafu hamjapendeza hata!!

hata mimi nilitaka kusema kama wewe.mimi tatizo langu tangu utotoni sipendi nguo iliyo andikwa maneno yoyote hata kama ni jina langu mwenyewe
 
hata mimi nilitaka kusema kama wewe.mimi tatizo langu tangu utotoni sipendi nguo iliyo andikwa maneno yoyote hata kama ni jina langu mwenyewe


Wakawauzie akili ndogo za huko mbagala aisee hizo za CCM tu sivai na nnapewa bure Leo nikanunue za kids..h.o.g kama hizo mnfssssssss wajipange upya
 
Diamond n mbish na ww HOD,bet hata shule huna kichwan,Dangote alipost advert ya WCB instagram tukamshaur wengi kuwa watu weng wanampenda yy na vitu vyake bt kwenye hzo tshirt alitoe neno baby aweke line kama tshirt moja alivoidesgn,au akishindwa bas aweke kwa kifupi tuuu (WCB) inatosha sasa yy anaweka na baby as if tshirt zote n special kwa ajili ya dem ake Wema,nakwambia hata mumpe Kikwete avae hamtouza zaid ya copy 500 tho Dai anapendwa sana na raia....


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Afu we jamaa angalia picha zako upo kama ki katuni yaani
Juu mnene Chini Mwembamba
.
Hii nahisi aliwapiga diamond hii!
.

.
Ona sasa ulivyokuwa chini mwembamba juu hilo!
.

.
Aliye wapiga hizi picha hamna kitu hajui kuitega camera!
Na ww umekurupuka kutuwekea hapa
 
Safi sana leo nakupongeza umeleta taarifa katika lugha sahihi kbs hakuna tatizo naamini umebadilika na umefanyia kazi maoni ya wana jukwaa hongera sn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…