Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo jinzi unavua mwenyewe au unasaidiwa kulivuta linabana kama ndomu
Dah! Majigambo yote hayo, oooh sijui project ya clothing line ya diamond inakuja just stand by, duuuh!!! Mzigo wa k.i.s.e.n.g.e sana.
..hizo baby ndo zinaboa,halafu punguzeni kigodo ukubwa wa maandishi, sisi ndo wanunuzi na ndo tumeongea otherwise kama mmejitengenezea mvae wenyewe..
Toleo hili tumeanza na design hii but
kuna zingne zinakuja zina design tofaut .kuna zilizoandikwa WCB,WASAFI na zingine zina logo ya wasafi

Diamond n mbish na ww HOD,bet hata shule huna kichwan,Dangote alipost advert ya WCB instagram tukamshaur wengi kuwa watu weng wanampenda yy na vitu vyake bt kwenye hzo tshirt alitoe neno baby aweke line kama tshirt moja alivoidesgn,au akishindwa bas aweke kwa kifupi tuuu (WCB) inatosha sasa yy anaweka na baby as if tshirt zote n special kwa ajili ya dem ake Wema,nakwambia hata mumpe Kikwete avae hamtouza zaid ya copy 500 tho Dai anapendwa sana na raia....
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Ilo jinzi unavua mwenyewe au unasaidiwa kulivuta linabana kama ndomu
Na sarawali ni spesheli kwa kata K ,kweli kazi ipo
dash....dogo ana sura ngumu!
kumbe unajua....Nani sasa? Head of Department aka KijiFenesi nini?