B-Twelve, Diamond na H.O.D ndani ya Wasafi Clothing Line

B-Twelve, Diamond na H.O.D ndani ya Wasafi Clothing Line

Ilo jinzi unavua mwenyewe au unasaidiwa kulivuta linabana kama ndomu
 
..hizo baby ndo zinaboa,halafu punguzeni kigodo ukubwa wa maandishi, sisi ndo wanunuzi na ndo tumeongea otherwise kama mmejitengenezea mvae wenyewe..
 
..hizo baby ndo zinaboa,halafu punguzeni kigodo ukubwa wa maandishi, sisi ndo wanunuzi na ndo tumeongea otherwise kama mmejitengenezea mvae wenyewe..

Toleo hili tumeanza na design hii but
kuna zingne zinakuja zina design tofaut .kuna zilizoandikwa WCB,WASAFI na zingine zina logo ya wasafi
 
Toleo hili tumeanza na design hii but
kuna zingne zinakuja zina design tofaut .kuna zilizoandikwa WCB,WASAFI na zingine zina logo ya wasafi

Stick kwenye hiyo design yenye logo.Ila msiweke logo tu peke yake tshirt zitakuwa plain sana,logo izungukwe na designs au kama itawekwa peke yake basi iwe designed vizuri.Angalieni wenzenu Gunit,Ecko au timberland.Muwe wabunifu na sio kufanya vitu juujuu
ImageUploadedByJamiiForums1393198600.173311.jpg
 
Diamond n mbish na ww HOD,bet hata shule huna kichwan,Dangote alipost advert ya WCB instagram tukamshaur wengi kuwa watu weng wanampenda yy na vitu vyake bt kwenye hzo tshirt alitoe neno baby aweke line kama tshirt moja alivoidesgn,au akishindwa bas aweke kwa kifupi tuuu (WCB) inatosha sasa yy anaweka na baby as if tshirt zote n special kwa ajili ya dem ake Wema,nakwambia hata mumpe Kikwete avae hamtouza zaid ya copy 500 tho Dai anapendwa sana na raia....


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Design za tshirt zimetengenezwa hata kabla ya hiyo advert aloiweka insta
na nilishatangulia kusema kuna design nying tofaut,kuna WCB,kuna WASAFI pekee etc
isipokuwa zimeprintiwa hiz kwanza,zilizosalia zinakuja
maybe useme jingine..na mbona hiz japo hazijapelekwa dukan watu wanachukua kwa order
mbna zinanunuliwa sana toka zilipotoka juzi
na kila siku ,kila dakika watu wanapiga wazipataje...JF bana
 
ImageUploadedByJamiiForums1393198743.289860.jpg
Umizeni kichwa,msifanye vitu kirahisi ndio maana sijawahi ona clothing line ya wasanii wa tz ikifanya vizuri mtaani
 
Tatizo exposee....alafu kuwa classy ni atitude.ata peter okoye alisema hakualika mtu yyte from east africa bt he felt good to see diamond at d paty( literarly ayo ni matusi)
 
H.O.D nimependa huo mustach wako...
halafu zikitoka nyingine ntanunua sijapenda hako kaneno "baby"
 
Kijana safi ila sijaona picha yako na Mr.Siry Ngosha ama Mr.Rock Town Photography m aana alinambia mlionana heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana mmeamua kutengeneza nguo kwa ajili ywnu tu...and I mean nyinyi na wasifu wenu!

Mkikua mtaacha, nawashauri mwende shule...tafuta hata shule ya jioni soma, itapanua uwezo wa kuona mambo ya kila siku katika fani zenu,,,
 
Back
Top Bottom