B-Twelve, Diamond na H.O.D ndani ya Wasafi Clothing Line

lazma itakua wabishi wa kushauriwa kwenye hayo mavazi yao
 
Tatizo exposee....alafu kuwa classy ni atitude.ata peter okoye alisema hakualika mtu yyte from east africa bt he felt good to see diamond at d paty( literarly ayo ni matusi)

Kwa hiyo domo alijipeleka bila mwaliko na kujipenyeza mlangoni?hataree!!
 
midume miziiiima mnavaa nguo zilizoandikwa wasafi classic baby!!!!! shame on you
 
Me niliwai kumwambia dogo me professional yangu ni clothing design hususan tshirt printings za screen ma namba nikampa huu ndio ujinga snap leta humu! Hawezi kumudu hats solo la far es salam co lakimataifa back anayo nafasi anitafute hapa 0715426668 whatssap ma hewani ni 0713935738 nimuoneshe njia hizo nazi za watu dogo
 
Na zinanunuliwa sana

Ata matishet yalioandikwa "kama vipi nipotezee " yananunuliwa sana...Swali je zinanunuliwa na watu gani kwa bei gani na soko lake litaishia wapi,,,Izo bello ni za kiwango cha soko la tandare ata kuzitangaza hapa sio mahala pake sahihi,unaitusi jf.
 
Kwa hiyo domo alijipeleka bila mwaliko na kujipenyeza mlangoni?hataree!!

unauliza habari za kuzamia kwenye minuso kwa mtu wa tandale nahisi utakua umekaa nje ya nchi mda mrefu
 
Se jamAA HUNA akil n mbishi kupindukia,hata fanya hv hap wanaozichukua wanachukua n bulk saktegemea kuuza zunguka mtaaan unambie kama utakuta mtu mjanja kavaaa hyo wasafi classic baby.....


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hizo nguo amechemsha sana. Dogo hajajipanga kwa hilo. He should be ready for dissapointments.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…