Jeremy Bentham
Senior Member
- Apr 22, 2019
- 118
- 131
Kwani ukiwa trending no 1 youtube ndio lazma waujue?
Mi nyimbo za ally kiba huwa sizijui hata zikitrend no 0
Unalialia mini sasa
madaktari waliosoma urusi huwa wanarudi hata malaria na kipindupindu hawajui sembuse UTI??Kwanza kenedy the remediiii ndio baharia gani tena 🤣 🤣 🤣 🤣Binafsi siujui but kwenye swala la kawaida haiwezekani MTU anayefanya kazi kwenye industry ya mziki asijue wimbo unaotrend number 1 YouTube!!! Hii ni sawa na DAKTARI tena MD asijue UTI
Kuna trafiki wa Bongo ambaye hajui daladala kweli?!??madaktari waliosoma urusi huwa wanarudi hata malaria na kipindupindu hawajui sembuse UTI??Kwanza kenedy the remediiii ndio baharia gani tena [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Watangazaji hawa wamenishangaza leo msikilizaji kaomba wimbo wa Innos B ft Diamond plutnumz - Yope rmx wanasema hawaujui wakati wimbo huo youtube una trend number 1 kwa taarifa yenu huu wimbo ndo habari ya mjini huku kitaa nakaribisha povu
Mimi binafsi siujui japo unasema una trend youtube na mtaani, sababu zako mbili hazimaanishi ndio silaha ya kila mmoja kuujua wimbo.Watangazaji hawa wamenishangaza leo msikilizaji kaomba wimbo wa Innos B ft Diamond plutnumz - Yope rmx wanasema hawaujui wakati wimbo huo youtube una trend number 1 kwa taarifa yenu huu wimbo ndo habari ya mjini huku kitaa nakaribisha povu
kwani zikitrend no 0 si ndo inatakiwa usizijue, au hujaelewa ulichokiandika, trend 0 inamaanisha no trending at allMi nyimbo za ally kiba huwa sizijui hata zikitrend no 0