B12 na Kennedy the Remedy wa Clouds Fm

B12 na Kennedy the Remedy wa Clouds Fm

Watangazaji hawa wamenishangaza leo msikilizaji kaomba wimbo wa Innos B ft Diamond plutnumz - Yope rmx wanasema hawaujui wakati wimbo huo youtube una trend number 1 kwa taarifa yenu huu wimbo ndo habari ya mjini huku kitaa nakaribisha povu

umekuja lini mjini?

haujui kuwa clouds hawapigi nyimbo za diamond? hilo jibu ni sawa kwa muktadha huo

walichofanya hao watangazaji redioni NI SAWA KABISA NA ULICHOFANYA wewe hapa

sio TBC ile
 
Otimb natimbaliyooooo[emoji102]

Inoss'b ......@auuuuuuuuuu
Auuuu
 
Walikuwa sahihi kusema hvyo kwa sababu redio yao hawaruhusu kupiga nyimbo za diamond na wasafi. Ndo maana hata sammisago kwenye youtube chaneli ake anarusha habari za wcb na kufanya nao interview lakn akiwa EATV hapigi nyimbo zao ili kulinda kibarua chake
 
Back
Top Bottom