ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Pepsi ni kampuni kubwa awawezi kuwaletea uswahili waoNdoivo mkuu hadi nikajiuliza itakua nimegeuza betrii nini??kucheki frequence kweli ni 88.1 Arusha daah!!
Watangazaji hawa wamenishangaza leo msikilizaji kaomba wimbo wa Innos B ft Diamond plutnumz - Yope rmx wanasema hawaujui wakati wimbo huo youtube una trend number 1 kwa taarifa yenu huu wimbo ndo habari ya mjini huku kitaa nakaribisha povu
Utakua mshambawimbo huo wa diamond licha ya kutrend no 1 bado unapigwa hovyo mtaan lazima wanaujua tuu