Ba education at muslim univ of morogoro (mum)

chuo chenyewe mumeomba majengo ya tanesco unadhani kitatoa elimu gani kama sio magumashi tu na kupotezeana muda
 
Wahitimu wa MUM hawahajiriki kwa kuwa wamekuwa wakionyesha uwezo mdogo sana makazini,ata walimu wao ni vilaza sana..mtu anayevaa bagarashia toka lini akawa na akili za zaidi ya kujua kuchinja kuku tu alafu anaomba apewe firigisi akimaliza kuchinja.
 
ubora wa mwanafunzi ni yeye na msuli wake wala sio chuoo,,chuo hakiwezi kukubeba wewe huku ulipokuwa unasoma mauzo kibao ukitegemea chuo kitakubeba
 
Kuna kijana amemaliza hapo, tulimfanyia interview haki ya mama nilimwambia arudi ajipange upya, mbaya zaidi vyeti vyake vilionesha kapata distinction. Niliamini kuwa MUM is nothing but a Glorified High School!
 
Amni usiamini chuo bora kinachotoa elimu bora na ya ukweli yaani mabingwa wa tasnia ya fani ya ualimu i mum pekee hp tanzania

wabillah tawfiq
wewe tukipata watu 10 humu jf wanaokurupuka kama wewe jukwaani tutakuwa tunacheka tu muda wote.
 
Kuna kijana amemaliza hapo, tulimfanyia interview haki ya mama nilimwambia arudi ajipange upya, mbaya zaidi vyeti vyake vilionesha kapata distinction. Niliamini kuwa MUM is nothing but a Glorified High School!
he!mlimfanyia interview! kwani wewe ni mwalimu mkuu?
 
he!mlimfanyia interview! kwani wewe ni mwalimu mkuu?
Bado na kiswahili ni vigumu kukielewa kweli hata kama ni lugha ya kwanza kwa sisi tulio wengi. Interview huwa inafanywa na mwalimu Mkuu? Well, inategemea "interview" inamaanisha nini kwako na ina lengo gani!!! But kwa hili ni kuwa huyo bwana alikuwa ametuma maombi ya kazi ndo tukamfanyia hiyo Interview. Swali zaidi?
 
ofisini kwetu alikuja mhitimu wa UDSM Bcom ACCOUNTING aliulizwa swali moja tu...na akachemka tukamtimua tena aliulizwa how can you differentiate finance dept with accounting dept alichemka na cheti chake kina GPA ya 3.6 je huyu naye kasoma MUM?mimi ni mhitimu wa MUM nakwambia ukiniweka na hizo takataka za UDSM SUA nk nawapoteza vbaya
 
Wahitimu wa MUM hawahajiriki kwa kuwa wamekuwa wakionyesha uwezo mdogo sana makazini,ata walimu wao ni vilaza sana..mtu anayevaa bagarashia toka lini akawa na akili za zaidi ya kujua kuchinja kuku tu alafu anaomba apewe firigisi akimaliza kuchinja.

kafiri mkubwa, ALLAH akupe mitihan mikubwa na midogo had kufa kwako' wew unavyonyoa kiduku chako unajiona wa maana sana kumbe unapotea njia' INNALILLAH WAINNA ILLAIH RAJIGHUN'
 
kwa sababu chuo chenyewe si kinatoa shahada za ualimu; ndo maana nikakuuliza hivyo.
 
kafiri mkubwa, ALLAH akupe mitihan mikubwa na midogo had kufa kwako' wew unavyonyoa kiduku chako unajiona wa maana sana kumbe unapotea njia' INNALILLAH WAINNA ILLAIH RAJIGHUN'

Mkuu punguza Jazba. Kuwa na moyo wa Subra
 
hongera kwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili. Ila kuvilaumu SUA na UDSM unakosea. Mi sijasomea huko
 
kafiri mkubwa, ALLAH akupe mitihan mikubwa na midogo had kufa kwako' wew unavyonyoa kiduku chako unajiona wa maana sana kumbe unapotea njia' INNALILLAH WAINNA ILLAIH RAJIGHUN'

hahahahahahahahahaahahahaha!!!!ustaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz wewe lazma una GPA ya 4.5 toka MUM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…