Ba education at muslim univ of morogoro (mum)

Ba education at muslim univ of morogoro (mum)

kafiri mkubwa, ALLAH akupe mitihan mikubwa na midogo had kufa kwako' wew unavyonyoa kiduku chako unajiona wa maana sana kumbe unapotea njia' INNALILLAH WAINNA ILLAIH RAJIGHUN'
Khee... Huyu allah kumbe ndo shughuri yake.. Bahati mbaya allah anashughurika na waislamu, hivyo unaye huyo...
 
ofisini kwetu alikuja mhitimu wa UDSM Bcom ACCOUNTING aliulizwa swali moja tu...na akachemka tukamtimua tena aliulizwa how can you differentiate finance dept with accounting dept alichemka na cheti chake kina GPA ya 3.6 je huyu naye kasoma MUM?mimi ni mhitimu wa MUM nakwambia ukiniweka na hizo takataka za UDSM SUA nk nawapoteza vbaya
Kwa hiyo kama angepatia hilo swali na kukosa mengine yaliyofuata yote ungempa kazi? Maana haiwezekani interview nzima ibebwe na swali moja...
 
Amni usiamini chuo bora kinachotoa elimu bora na ya ukweli yaani mabingwa wa tasnia ya fani ya ualimu i mum pekee hp tanzania
wabillah tawfiq
waislamu wanatabu sana sasa hapa ndo nn umeandika
 
Wahitimu wa MUM hawahajiriki kwa kuwa wamekuwa wakionyesha uwezo mdogo sana makazini,ata walimu wao ni vilaza sana..mtu anayevaa bagarashia toka lini akawa na akili za zaidi ya kujua kuchinja kuku tu alafu anaomba apewe firigisi akimaliza kuchinja.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha 🙂
 
Du! Profesa ninja,kweli MUM ni janga la kibinadamu,hata Ponda issa Ponda alihitimu hapo BA(Violent Studies)(hons) mwaka 2010 na alipata GPA ya 4.5
mbona iyo marks failure sana ndo mana anaongea point less kwnye DVD zake
 
jamaa kajitahid kupost kilicho ubongon mwake ,mi nafikiri yupo sahihi lakin kama kweli naye anasoma hiyo baed ambayo ni bora kwanin anashindwa hata kudifend hoja yke?
ushauri -ukileta hoja hapa jukwaan uwe na uwezo wa kuitetea na uwe na reasons kwa nin umeamua kusema vile ,fanya reseach ya kutosha sio unakurupka tu eti kwa sababu we unasoma pale no!.kaka we kama msomi unakidhalilisha chuo kwa kuleta hoja ambazo hazina mashiko!!
 
Inanisikitisha kuona watu wanatukuza/au kushusha vyuo bila vigezo. Kusema chuo X ni bora zaidi kuliko vingine au kuliko chuo Y haitoshi nilazima kuaanisha vigezo vilivyotumika. Mimi nafikiri tusijadili juu ya chuo kuwa bora au dhaifu bali tujadili hivi ubora wa vyuo unapimwaje? Katika hali ni vema kuwa OBJECTIVE. Kwa mfano vigezo vinaweza kuwa

1: Elimu ya wakufunzi wa vyuo

2:Idadi ya wakufunzi waandamizi pamoja na wakufunzi wasaidizi

3:Uwiano wa wanafunzi na wakufunzi

4: Machapisho yanayofanywa na taasisi/idara za vyuo husika eg economics dptmnt na namna ambavyo machapisho hayo yanavyoisaidia jamii kujikwamua kimaisha.
5:Uwezo wa wahitimu wake kukidhi matakwa ya soko pamoja na ya jamii
6:Aina pamoja na kiwango cha miundo mbinu
7:.......................................
8:.......................................
 
ofisini kwetu alikuja mhitimu wa UDSM Bcom ACCOUNTING aliulizwa swali moja tu...na akachemka tukamtimua tena aliulizwa how can you differentiate finance dept with accounting dept alichemka na cheti chake kina GPA ya 3.6 je huyu naye kasoma MUM?mimi ni mhitimu wa MUM nakwambia ukiniweka na hizo takataka za UDSM SUA nk nawapoteza vbaya

ndugu!!!
kuna online application Standard chartered Bank naomba mimi na wewe tuombe
hawa jamaa wanafanyia watahiniwa wao online assesment wapo huko duniani/njee ya tanzania so hamna atakayelalamika kaonewa, wanachukua degree programme yeyote.Karibu ndugu tufanye hiyo application.
Majibu ya hii assesment yatajulisha MUM wanauwezo gani
 
siwezi kuapply course nina mambo yngu bdo cjayamaliza,,,pia cyo kila kazi ni lazima uapply kuna nyingine waachie wenzako
 
Back
Top Bottom