Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina ndoto ya kusoma hyo course xo nahitaj mtu anayejua application ya hiyo kozi i.e atafnya kazi katika sekta zipi.ni hayo tu wakuu mchna mwema
mdogo wangu ebu jifunze hata kuandika vizuri ili usaidiwe mawazo kwa dhati kabisa maana hapo nilipobold sijapaelewa pia...haya labda nikuulize a'level ulifanya kozi gani?na wewe labda matamanio yako ni kuwa katika field gani?