SAMORE TOURE
Senior Member
- Aug 5, 2012
- 116
- 9
jamani huo mzigo kibongobongo umekaaje...unalipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani huo mzigo kibongobongo umekaaje...unalipa?
kabla hatujafika mbali....umechaguliwa au ndo unaulizia?? Je uko njema maths??? Jib tuendelee mkuu!!!!
yeah mkubwa
pamoja kaka ni kukomaa na kupray 2.............pamoja sanakwanza hongera sana..afu kuhusu market ondoa shaka mana ni program mpya kwa hapa bongo na still watu wake wanahitajika saaaaana!! Cha mwimu kapige book kwa juhud na kumwomba mungu maana kudisco na sap pia zipo!!!
All the best mkuu..........
jamani huo mzigo kibongobongo umekaaje...unalipa?
Inahusu nini hiyo wakubwa?