baada ya kumaliza bachelor's degree yako kama utakuwa umefaulu kwa kiwango cha juu MUCCOBs wanaweza kukuajiri kama mwalimu.
PSPBT ni bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi, kirefu chake ni PROCUREMENT AND SUPPLIES PROFESSIONALS AND
TECHNICIANS BOARD. hii ni bodi ambayo inawasajili watu wanaofanya kazi za ununuzi na ugavi. na wanasajiliwa baada ya kufanya mitihani ya hii bodi.
ukishamaliza degree yako na ukafanya mitihani ya hii bodi na ukafaulu unasajiliwa na bodi kama mtaalamu wa maswala ya ununuzi na ugavi.