Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
wana jf hii kozi ya procurement nimeichagua pale MUCCOBs na vip suala la ajira naweza pata ajira yenye mshahara mzuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mitiani ya bodi ya uhasibu / ugavi kama sikoseikaka stany mitihani ya bodi ndo ipi iyo plz
unapata cheti kutoka hukoKwani siwez kupata kazi bila kufanya iyo mitihani ya bodi?
baada ya kumaliza bachelor's degree yako kama utakuwa umefaulu kwa kiwango cha juu MUCCOBs wanaweza kukuajiri kama mwalimu.
PSPBT ni bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi, kirefu chake ni PROCUREMENT AND SUPPLIES PROFESSIONALS AND
TECHNICIANS BOARD. hii ni bodi ambayo inawasajili watu wanaofanya kazi za ununuzi na ugavi. na wanasajiliwa baada ya kufanya mitihani ya hii bodi.
ukishamaliza degree yako na ukafanya mitihani ya hii bodi na ukafaulu unasajiliwa na bodi kama mtaalamu wa maswala ya ununuzi na ugavi.