Baa hizi zinaongoza kwa wahudumu walio simama!

vipi nyumbani hapakaliki nini mwenzetu?tatizo wahudumu wanakatazwa kukaa mezani kunywa na wateja zamani igongwe mwenge ilikua ruksa waiter anakaa mnakunywa huku ukijipimia oil
 
Mhhhh kaka Kiiza napita tuu hapa
Maana mwanzo wa kusifia ndo mwanzo kuwa na wewe ni mteja mwaminifu na mtumiaji wa huduma zaidi ya zile za kinywaji
 
no comment,..maake mimi siendagi baa bana
 
Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya Rombo view,Brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!

mkuu tunaomba ufafanuzi,macho yanakunywaje?
 
KK kwa maobzavesheni kiboko! haya bana kwa raha zako sisi tunaonywea tandale kwa mtogole na giza hili no jenereta wala hata hao wahudumu hatuwaoni kisawasawa maana service shurti kwa kibatari.
 
KK kwa maobzavesheni kiboko! haya bana kwa raha zako sisi tunaonywea tandale kwa mtogole na giza hili no jenereta wala hata hao wahudumu hatuwaoni kisawasawa maana service shurti kwa kibatari.

Mwambie aje Atown aende Arusha by night au cet garden ataona mambo
 
Mkuu hukuainisha ni kwa kanda ipi.
MTK baa-AR ndo inayoongoza nchi nzima.
Tatizo naona kuna ubaguzi wa ajira pale. Na hilo ni kosa kwa mujibu wa "Employment and Labour Relations Act No. 4 of 2004"
 
Mkuu hapa A town kuna mahali panaitwa Arusha Night Park a.k.a ****** bar! Ucpime.
 
no comment,..maake mimi siendagi baa bana

Unge comment tu hata wa "kilabuni" Mkuu! Mama muuza sindiye anayetoa huduma. Au kwasababu hakuna mameneja!?
 
Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya Rombo view,Brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!

Bro, hii imeni touch kidogo, ebu nambie hao waiters wanakuwa hivyo muda wote au wakati unaposubiri foleni iishe (fuel consciousness) au unasubiri kubadili daladala Mwenge?
 
Matatz ya bangi ukinya na safari haya kila kitu unaona kizuri!!
 
vipi nyumbani hapakaliki nini mwenzetu?tatizo wahudumu wanakatazwa kukaa mezani kunywa na wateja zamani igongwe mwenge ilikua ruksa waiter anakaa mnakunywa huku ukijipimia oil

kilichotokea igongwe unakukmbuka? Ilichinja wateja wengi kwa kale kaugonjwa. na Maryland pale Mwenge wachinja sana wateja mpaka mmiliki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…