Baa hizi zinaongoza kwa wahudumu walio simama!

Baa hizi zinaongoza kwa wahudumu walio simama!

kilichotokea igongwe unakukmbuka? Ilichinja wateja wengi kwa kale kaugonjwa. na Maryland pale Mwenge wachinja sana wateja mpaka mmiliki wake.

Kumbe jamaa walikuwa wanatembea na visu vya kuchinjia watu? Mbona hatari sana, wanausalama wako wapi? Au unamaanisha kale kaugonjwa?
 
Swala lake lina mashiko nimeona siku hizi bar na hotel nyingi wanaajiri akina dada ambao, kama ni hotel ukifika kama ni A town, moro, Dar, popote ukienda tena utataka ukalale pale pale. Na kama bar utajikuta kila siku unaenda na vi keep change vingiii. Sasa ukienda na wadada wengine lazima wawaponde utasikia ungekuwa peke yako hapa ndo ungepata huduma haraka . . . . . . basi pale wewe mlidhishe mwambie kweli kwa sababu wewe upo. Sisi wazee tunajua, kama mhudumu atakuwa sio mzuri sana lazima partner wako atampenda tu. Hivyo kwa wanaojua biashara hufanya hivyo
 
Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya Rombo view,Brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!
njaaa inaua! Unapiga promo?
 
duh kweli hii inasikitisha ina maana mkeo hana mvuto hadi ukaleweshe macho bar???
 
vipi nyumbani hapakaliki nini mwenzetu?tatizo wahudumu wanakatazwa kukaa mezani kunywa na wateja zamani igongwe mwenge ilikua ruksa waiter anakaa mnakunywa huku ukijipimia oil
kaka umenikumbusha mbali sana kuusu igongwe enzi hizo zakina salma na fatuma,yani ilikua balaaaaaaaaaaaaaa
 
yani kaka enzi zile igongwe ilikua hatari,kunamtu alikua anaitwa fatuma na mwingine salma yani ilikua hatari
 
Mkuu hapa A town kuna mahali panaitwa Arusha Night Park a.k.a ****** bar! Ucpime.

Ma**lio Bar imekuwa sio kwa saana kivile mkuu kama hapo zamani, cku hz mambo yote ni 'Picnic' bwana asikwambie mtu, kuna twiga za hatari, if kno waddamean!
 
Mkuu hapa A town kuna mahali panaitwa Arusha Night Park a.k.a ****** bar! Ucpime.

Ma**lio Bar imekuwa sio kwa saana kivile mkuu kama hapo zamani, cku hz mambo yote ni 'Picnic' bwana asikwambie mtu, kuna twiga za hatari, if kno waddamean!

Wale wa Arusha by night wengi wamehamia Songambele ile bar juu kidogo ya sakina supermarket
 
yote 9 kumi baa moja sinza inaitwa mseli ni kiboko.wahudumu super.tembelea!
 
nairobi kuna club salt,watoto waukweli wamevalishwa sare za skirt suit fupi balaa!
 
nairobi kuna club salt,masista duu kama wa masaki wamevalishwa sare za skirt suit fupii!wazuri jamani!
 
Hii post imenisuuza moyo.....tupo wengi kumbe
Wengine hapa hawataki kuchafuka ila ndiyo walewale wasikuzotena ha wadada ila kuna niwenzetu wamepotezea hapa katika thread sitaki kuwataja!!
 
Back
Top Bottom