Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Wapi BABA_ENOCK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kilichotokea igongwe unakukmbuka? Ilichinja wateja wengi kwa kale kaugonjwa. na Maryland pale Mwenge wachinja sana wateja mpaka mmiliki wake.
njaaa inaua! Unapiga promo?Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya Rombo view,Brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!
kaka umenikumbusha mbali sana kuusu igongwe enzi hizo zakina salma na fatuma,yani ilikua balaaaaaaaaaaaaaavipi nyumbani hapakaliki nini mwenzetu?tatizo wahudumu wanakatazwa kukaa mezani kunywa na wateja zamani igongwe mwenge ilikua ruksa waiter anakaa mnakunywa huku ukijipimia oil
yani kaka enzi zile igongwe ilikua hatari,kunamtu alikua anaitwa fatuma na mwingine salma yani ilikua hatari
Mkuu hapa A town kuna mahali panaitwa Arusha Night Park a.k.a ****** bar! Ucpime.
Ma**lio Bar imekuwa sio kwa saana kivile mkuu kama hapo zamani, cku hz mambo yote ni 'Picnic' bwana asikwambie mtu, kuna twiga za hatari, if kno waddamean!
yote 9 kumi baa moja sinza inaitwa mseli ni kiboko.wahudumu super.tembelea!