Mkuu ntakuja hivi karibuni nita KPM
Mkuu hapa A town kuna mahali panaitwa Arusha Night Park a.k.a ****** bar! Ucpime.
wengine wanapaita MATOKE BAR,wanapika matoke km ya kwetu kampala-Ug! Hata wahudumu wengine wana maumbo ya kiganda pako poa.Mkuu hukuainisha ni kwa kanda ipi.
MTK baa-AR ndo inayoongoza nchi nzima.
Tatizo naona kuna ubaguzi wa ajira pale. Na hilo ni kosa kwa mujibu wa "Employment and Labour Relations Act No. 4 of 2004"
Kunani huko Mkuu?Mwambie aje Atown aende Arusha by night au cet garden ataona mambo
Za mbagala mkuu naona kimya!!
mwanawane pale kuna uncle wangu alikuwa anafundisha chuo cha ardhi wakati huo kinatoa advanced diploma alikwenda na maji!!kilichotokea igongwe unakukmbuka? Ilichinja wateja wengi kwa kale kaugonjwa. na Maryland pale Mwenge wachinja sana wateja mpaka mmiliki wake.
Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!!
Baa ya Rombo view,Brake point town!!
Nawasifu mameneja uajiri!!
Mwambie aje Atown aende Arusha by night au cet garden ataona mambo
sema tuuu...****** barMkuu hapa A town kuna mahali panaitwa Arusha Night Park a.k.a ****** bar! Ucpime.
Za mbagala mkuu naona kimya!!