Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa wapi au nani alisema watu wale mbuzi lakini mbwa wasile?
ina ladha gani?Usile nyama mwanza wala Moshi maana mie yalishanikuta
Hahahaaaaaaaaa...., uuuhahahahahahahahaaaaaa,, aiseee.., u hav made my day..., bia yangu inashuka vizuuuurii saiziii..., w*'s*r* utamfanyaje?? HahahahahahahahahhaaaaaWanyama wengine wana upeo kidogo so si vema kuwala ebu jifikirie umkamate kasuku umbanike au umchukue W*s*r* umdumbukize kwenye maji moto