johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ile Bar maarufu jijini Dodoma inayopendwa na wabunge na wageni wengi "cha pombe" wawapo Dodoma imenusurika kuungua moto baada ya nyumba iliyo jirani yake kuteketea kwa moto.
Chako ni Chako Pub ndipo aliposema mbunge msukuma kwamba KUB wa awamu ya 5 alikuwa anapata kinywaji kabla ya kuanguka na kuumia mguu.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Chako ni Chako Pub ndipo aliposema mbunge msukuma kwamba KUB wa awamu ya 5 alikuwa anapata kinywaji kabla ya kuanguka na kuumia mguu.
Nawasalimu kwa jina la JMT!