Baa ya The Cask yafunguliwa

Baa ya The Cask yafunguliwa

Mtanzania2020

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
817
Reaction score
1,752
FB_IMG_1692722332053.jpg

Mmiliki wa bar ya The Cask iliyopo jijini Mwanza Joel Makanyaga, amethibitisha kupewa ruhusa ya kuendelea na biashara baada ya kukamilisha matakwa yaliyoainishwa wakati wa kufungiwa kwa bar hiyo ikiwemo leseni.

"Jana jioni Mkurugenzi aliruhusu kuendelea na biashara zetu, tayari tumekamilisha kupata leseni ambayo ndiyo ilikua sababu ya kufungiwa," amesema Joel.

Patrick Masagati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania mkoa wa Mwanza amesema jana jioni walikutana na mamlaka husika ndipo wakapewa majibu ya bar hiyo kuendelea na biashara zake kama kawaida.

Pia soma:
- Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

EastAfricaRadio
 
Sahihi kabisa, ningemjua mpishi wao ningempandia dau aje anisaidie kuniuzia jina kwenye kijiwe changu kipya mkoani.

Jamaa sijui kasomea wapi, maana samaki choma wake anajua sana kuwaandaa
Kabisa....Kazi yake anaifanya vyema sana...

Inawezekana samaki wao ni fresh...maana siyo kwa utamu ule..
 
Back
Top Bottom