MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Chini ya chuo Cha TIA Kuna chimbo linaitwa Green View linapiga live band usiku mzima.
Mziki wake ukiwa kata ya Mahina, Mhandu, Mecco, Buzuruga na maeneo mengine ya karibu usiku mzima Ni mwendo wa live band mwanzo mwisho.
Na wamiliki wanasema mziki wao wamefungulia asilimia 1 sijui hali itakuwaje siku wakiwasha 2%.
Hawa jamaa nawapa maua yao.