Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Ukishakuwa msukuma automatically unakuwa bogus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu kwenu hamna hivyo vituUkishakuwa msukuma automatically unakuwa bogus
Sasa hayo maeneo asilimia kubwa si ni kama yamezungukwa na mapori kwanini mziki usisambae sehemu kubwa.Chini ya chuo Cha TIA Kuna chimbo linaitwa Green View linapiga live band usiku mzima.
Mziki wake ukiwa kata ya Mahina, Mhandu, Mecco, Buzuruga na maeneo mengine ya karibu usiku mzima Ni mwendo wa live band mwanzo mwisho.
Na wamiliki wanasema mziki wao wamefungulia asilimia 1 sijui hali itakuwaje siku wakiwasha 2%.
Hawa jamaa nawapa maua yao.
Kuna hyo shetembaa na Taiwan...yaan usiku kucha ni mikelele tu
Mkuu hizo sehemu unazijua au umejibu kimazoea!? Hapo Kuna pori Gani karibu?Sasa hayo maeneo asilimia kubwa si ni kama yamezungukwa na mapori kwanini mziki usisambae sehemu kubwa.
Ninazijua zote hizo mkuu, huko sio katikati ya mji ni pembeni mwa jiji.Mkuu hizo sehemu unazijua au umejibu kimazoea!? Hapo Kuna pori Gani karibu?
Mkuu umemkomesha huyo msukuma aliyejileta kiboya, umempa majibu konki harudii tena.we unavyofikiri idadi ya nyumbu na ya simba ipi kubwa? Uwingi ndiyo akili? Ni kweli wasukuma ni washamba ukitaka kujua warejee Kasheku, Kishimba, watu vijihela kidogo akiongea bungeni ni nyodo, ni kutukana elimu, kujifanya wajua kumbe hata barua ya kutongoza demu hawawezi kuandika. We mtu anakuaandalia budget, anakuandalia muswada, km una kesi anakuandalia wrutten statement of defence(WSD) bado unataka kuonesha dharau kisa vijisenti vyako vya ndagu? Karibu kila kabila ina watu wenye pesa huwezi sikia nyodo na sifa za kijinga km za wasukuma, ni ushamba.
Wa kutosha kabisaa...wengi ni wanachuo wa hapo CBEMadem wanajiuza? Nataka nitembelee
Kama wew ndo mweny hii elimu ,bas msukuma anahaki ya kuponda.we unavyofikiri idadi ya nyumbu na ya simba ipi kubwa? Uwingi ndiyo akili? Ni kweli wasukuma ni washamba ukitaka kujua warejee Kasheku, Kishimba, watu vijihela kidogo akiongea bungeni ni nyodo, ni kutukana elimu, kujifanya wajua kumbe hata barua ya kutongoza demu hawawezi kuandika. We mtu anakuaandalia budget, anakuandalia muswada, km una kesi anakuandalia wrutten statement of defence(WSD) bado unataka kuonesha dharau kisa vijisenti vyako vya ndagu? Karibu kila kabila ina watu wenye pesa huwezi sikia nyodo na sifa za kijinga km za wasukuma, ni ushamba.
Ushawai fika?Sasa hayo maeneo asilimia kubwa si ni kama yamezungukwa na mapori kwanini mziki usisambae sehemu kubwa.
Kwamba buzuruga, Mecco ni pemben mwa mji [emoji23][emoji23][emoji23] duh.Kwa mwanza pemben ya mji ni nyanguge huko maguNinazijua zote hizo mkuu, huko sio katikati ya mji ni pembeni mwa jiji.