Baa zenye mademu wazuri Mwenge

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Baa zenye mademu boomba Mwenge karibu na chuo kikuu mlimani. Leo nane.nane!! Si mnajua tena. Nijuze tafadhali
 
bullz pub, catalunya, calabash, meeda.... mfuko wako tu
 
Katalunya na meeda ziko Mwenge sehemu gani? Taja kituo cha daladala cha karibu
 
Baa zenye mademu boomba Mwenge karibu na chuo kikuu mlimani. Leo nane.nane!! Si mnajua tena. Nijuze tafadhali

Brajec....Mlalakuwa/ Savei
Sungu Chini/ Kwa Chuwa
Hongera
UDASA
 
Wale ni wachafu wachafu.

Wa pale Mori wana afueni kidogo.

Ukitaka viwango zaidi nenda kwenye ile casino na ile klabu mpya (jina nimezisahau) pale karibu na PPF tower

inaonekana una experience na hivi vitu
 
Mie nawaona wale wanajipanga njiani, naona wamechoka choka tu.

Anyway, kuwa mwanamme ni kazi sana.

Wale ni wachafu wachafu.

Wa pale Mori wana afueni kidogo.

Ukitaka viwango zaidi nenda kwenye ile casino na ile klabu mpya (jina nimezisahau) pale karibu na PPF tower
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…