Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

Ndio ndoa ilivyo wahenga wanasema "Its not a bed of roses".

Kama ulifikiri kuna mtu anashikiwaga bastola kutafta mchepuko basi utajifunza hilo in the hard way😂.

Wanawake tunawaoa kwa Upendo ila madhila yao ni makubwa sana baada ya ndoa.
Mwamba umenigisa,mwambie huyo kimeo mchepuko hauepukiki,hawa wadudu ni pasua kichwa
 
Ndio ndoa ilivyo wahenga wanasema "Its not a bed of roses".

Kama ulifikiri kuna mtu anashikiwaga bastola kutafta mchepuko basi utajifunza hilo in the hard way😂.

Wanawake tunawaoa kwa Upendo ila madhila yao ni makubwa sana baada ya ndoa.
Asante mkuu..
Huyu njemba atafute mchepuko, tena bila woga!

Ndoa siyo mchezo mchezo aise..
 
tulia tu,hiyo ni hali ya kawaida kwa wanawake waliojifungua,ongeza mapenzi na ubunifu wa kumuomba
 
Ndio ndoa ilivyo wahenga wanasema "Its not a bed of roses".

Kama ulifikiri kuna mtu anashikiwaga bastola kutafta mchepuko basi utajifunza hilo in the hard way😂.

Wanawake tunawaoa kwa Upendo ila madhila yao ni makubwa sana baada ya ndoa.
Kwa maelezo yako bro ninayekuheshimu...unataka kusema ibarikiwe michepuko?
🤣🤣
 
Kipindi mdgo nilikuwa naoja haya mambo naona kama ni uzushi lkn nilipooa nikajionea bro sio wewe tu wanaume wengi wakamia show hyo hali inatukumba ukishapata mtoto basi shida ndo inapoanzia yan najua uzi huu wanaume wengi wanausoma huku wakihisi ni kama wameandika wao

Kuliko kuanza masuala ya michepuko nafkiri mke mmoja anajisahau sana kwa sababu ana uhakika wa namba lkn wakiwa wawili shda hzo zinapungua wanapambania namba

Wanawake wapo hvyo hawana hulka sana ya sex baada ya mda fulani kwenye ndoa na usiombe akawa ana kazi yake ndo balaa wazee wetu waliona mbali kuwa na wake wengi sema maisha ya saiv magumu ukisema michepuko inahtaj hela ndefu kuihudumia lkn pia kuhudumia ndoa mbili nako sio mchezo
 
Mfatilie mkeo utakuta unatombewa
 
Amepoteza hamu ya tendo baada ya kujifungua, na ameielekeza akili yake kwenye kulea, hali unayoipigia naijua, cha kukushauri, mkaushie kama miez miwili bila kumuuliza au kuonyesha dalili ya kuhitaji, kuwa bize na mambo yako huku ukitimiza majukumu yako, usijitilishe huruma yaani kama kwamba usipopewa mzigo utakufa au mambo fulani hautafanikiwa, ukiweza hapo utaona anaiomba mwenyewe. Ila usije ukasema unaenda kutafuta nje, utaipoteza ndoa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…