Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

Kwa maelezo yako bro ninayekuheshimu...unataka kusema ibarikiwe michepuko?
🤣🤣
Hakuna kitu ambacho hakina faida duniani hata ambavyo vinaonekana ni vibaya ila kuna namna vinaweza kuwa na manufaa vikipatiwa matumizi mengine.

Michepuko itabaki kuwa sehemu ya vitu ambavyo vina faida sana kwa wanaume🤣 hasa waliooa.
 
Back
Top Bottom