warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mimi ni mmoja kati ya wapenzi na wasomaji wazuri wa jarida hili la BAAB KUBWA,kwa takribani miaka miwili sasa,ila kuna tatizo ambalo naliona linakuwa too much kwa hawa waandishi wa jarida hilo.Ni pale wanapofanya mahojiano na wasanii kwenye jarida hilo,cha kushangaza unakuta wanaandika kiswanglish au kiingereza kilichokwenda shule ambacho kwa kawaida unajua kabisa msanii fulani hawezi kuongea kiingereza cha level hiyo.Hata kama ni swaga kwa style hii mimi naona haijakaa poa wala nini,ni vizuri waandishi wakaandika kile msanii alichosema na sio kuremba kwa lugha yao ambayo sio halisi kwa kuitumia kwa kufanya kuwa msanii fulani ndo kaongea hvyo wakati tunajua kabisa fulani ni kilaza wa lugha,ni hayo tu,vinginevyo u ROCK GUYS(BAABKUBWA)..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums